Siku ya Afya ya Akili Duniani ni Siku ya Kimataifa maalumu kwa kutoa Elimu ya masuala ya Afya ya Akili, Uhamasishaji na Utetezi dhidi ya Unyanyapaa wa Kijamii pamoja na athari zake kwa wale walioathirika na Walezi wao
Shirika la Afya Duniani (WHO) linataja kuwa kabla ya janga la COVID19...