meridian

  1. I

    Meridian Bet mnakera sana, nitawashitaki

    Hawa Meridian bet nilijiunga mara moja tu na nikajitoa(nililazimika kujiunga kwa muda mfupi ili niObserve kitu fulani kutokana na kazi zangu), lakini kila siku wanaendelea kunitumia meseji zao za ofa na promotion. Nimepiga simu zaidi ya mara tano wanasema tu watafanyia kazi lakini hamna kitu...
  2. Lovehate

    Nimetapeliwa - meridian bet

    NIMETAPELIWA NA MERIDIAN BET - NIFANYAJE ? ? ? Jumapili nimechagua mechi zangu kama tisa, nikazichambua weeee nikaamua kuweka (stake) 1900/= Mara paaap baada ya kuliwa sana jana ikawa zamu yangu kuwala nikashinda 184,000/= Nikaingia kwenye account yangu ya meridian bet nika withdraw pesa kama...
Back
Top Bottom