Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo.
NMB acheni kuwahadaa watumishi.
Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki!
Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu?
Naomba kuwasilisha
Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa...
Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀
Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
BARUA KWA KIZURI CHANGU MTARAJIWA
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa hakika ya maisha na afya hii niliyonayo. Niko mahala napambana ili kuhakikisha mimi nasimama kama mume wako na baba pia
Kuzaliwa kwangu kulikuwa ni furaha ila kadri nilivyozidi kukua ndipo nikaanza kupevuka MWILI sasa...
Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo na Pastory Katambi wakipeta tena kwa mbeleko ya refa
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano
Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...
- Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa;
-kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana.
Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu kwa mfululizo unaweza kupuuza kwa kudhani ni SMS za mtandao ila ukiacha kusoma na umesikia ikiita...
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani.
Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana
Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
Kuna meseji zinatumwa kuhusu Zuia Uhalifu.
Ni wazo zuri lakini sasa wahusika wanazituma mfululizo kwa sisi watumiaji wa simu na kutujazia inbox zetu sisi watumiaji wa mtandao wa tigo.
Hii ni kero sasa, wahusika watume walau mara moja kwa wiki.
Wakuu salama.
Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea
Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA.
Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake"...
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
"Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.
Chanzo: East Africa Radio
Ukiwa Mpumbavu...
Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.