Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini ana balaa uwanjani, mchezaji pekee ambae ana uwezo wa kupiga chenga mpaka wachezaji 6 na kipa, n.k.
Mwaka 2023 waarabu walikuwa tayari kumlipa Euro bilioni 1.4 kwa mwaka sawa na Shilingi za kitanzania Trilioni 4 na bilioni 30 lakini aliwapiga chini...