meter

  1. D

    KERO Wateja tunaotumia Mita za Maji za Prepaid - Bukoba tunateseka, ikiwezakana waturudishie Mita za zamani

    Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera. Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka sasa leo wiki ya pili siku ya Jumatano sijapata tokeni na BUWASA wapo kimya. Hali hii imetuathiri...
  2. FRANCIS DA DON

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
  3. My hair my crown

    Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

    Karibuni kiwanja wana jamiiforum, kipo sehemu nzuri kutoka kiluvya madukani mpaka kilipo nauli ni buku. Kiwanja hakina udalali na maelewano yapo. kwa mawasiliano zaidi karibu +255617011077 +255713392367
  4. mmewadadako

    Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri Bei ni 46,000 kwa square meter Ni sehemu hot cake sana...
  5. FRANCIS DA DON

    Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

    Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter? Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana. Hivi...
Back
Top Bottom