Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake,
"ee baba, anayejamba...
1. Aanguaye huanguliwa.
2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu.
3. Abebwaye hujikaza.
4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti.
5. Adui aangukapo, mnyanyue.
6. Adui mpende.
7. Adui wa mtu ni mtu.
8. Afadhali ya Musa kuliko ya Firauna.
9. Ahadi ni deni.
10. Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.
11...
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo...
Taifa la kesho linabalaa sana.
Kutoka kitabu hadithi za Kisukuma.
Methali na Tafsiri
Makono hoya babyaji ba banhu: Mikono ndiyo wazazi wa watu: fanya kazi kwa mikono yako uishi.
Buka mundi tukalye sha balimi: Miguu yangu inukeni tukale vya wakulima, mvivu huishi kwa jasho la wenziwe.
Mkono gumo gutatobaga buki: Mkono...
Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
a) Muktadha wa mada na umuhimu wake:
Tanzania ni nchi inayojitahidi kufikia maendeleo endelevu kwa wananchi wake. Ili kufanikisha hilo, ni muhimu kuwa na...
Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse
Akiba haiozi, A reserve will not decay
Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on.
Akili nyingi huondowa maarifa. Great wit drives away wisdom
Asiye kubali kushindwa si mshindani. He who does...
Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo"
"Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao".
Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo...
Kila mtu anapitia ya kwake na kwa muda wake , vitu vingi vinatukwamisha ,vingi vinatujenga vingine vinatuabisha vingine vitupa moyo na furaha.
hivi kwamba hali yako ya maisha ya sasa ungeambiwa utumie methali,Nahau au msemo wowote kuielezea ungetumia METHALI au MSEMO Upi?
kwa Upande wangu mimi...
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Nabendaga sana methali hizi, pale jambo mtu anapolificha wakati akijua ni lazima litatoa outcome mbeleni.
Kwa mfano mtu akificha ujauzito/ mimba muda ukisonga itajulikana tu anamimba.
Ni hayo tu nimekumbuka mbali sana.
Hasa pale muibuko unapotokea. inakuwaga aibu na fedheha.
Jamani tuenzi...
1. Aanguaye huanguliwa.
2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu.
3. Abebwaye hujikaza.
4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti.
5. Adui aangukapo, mnyanyue.
6. Adui mpende.
7. Adui wa mtu ni mtu.
8. Afadhali ya Musa kuliko ya Firauna.
9. Ahadi ni deni.
10. Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.
11...
Achari yalisha.
The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.)
Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo.
It is customary for a slave to talk, but a free man acts. (Mja is only used in this...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.