mexence mello

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tra na uhamiaji mulikeni kampuni ya digital mobile africa tanzania

    Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba yetu ilimalizika tangu mwezi wa tano. Tupo wat zaidi ya 300 kwenye mikoa ya Dodoma, Manyara na...
  2. M

    SoC02 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima,kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai...
  3. M

    SoC02 Ufundishwaji wa Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi nchini Tanzania unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Elimu ya Juu

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa, kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi, mapishi tofauti, ujasiriamali...
  4. M

    SoC02 Bei ndogo shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  5. M

    SoC02 Ongezeko la idadi ya watu wasiopiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania ukilinganisha na miaka 5 iliyopita

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
  6. U

    Hivi mexence Mello angekuwa weak kwa Hawa CCM tungeshughulikiwaje anonymous! Hongera mexence unafaa kuwa speaker

    Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
  7. SoC01 Importance of Boosting Intra-African trade by Promoting a Culture of buying Quality African Goods and Services

    How can Africa’s Young Entrepreneurs and Innovators make the AfCFTA’Magic Happen? The African Continental Free Trade Area Agreements (AfCFTA) It is a plan signed On March 21, African Nations signed the African Free Trade Agreement (AfCFTA) agreement in Kigali Rwanda. The African Union says the...
  8. SoC01 Mwanamke mjamzito afanye hivi kuondoa mazoea ya kula udongo kutokana na madhara yake.

    Watu maarufu waliowahi kula udongo. Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja. Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
  9. SoC01 Dhana kwamba huwezi kufanikiwa ulipozaliwa (kukulia) na msemo, ”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  10. SoC01 Wahitimu wa kada ya Ualimu wajitolee

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  11. Katuni: Mazoea kwa baadhi ya watu kumsubiri mtu afariki ndio wamsifie

    Kuna wakati kwenye jamii ambayo tumekuwa tunaishi watu wamekuwa wakibadilika mitazamo baada ya mtu kufariki,kutokuwepo nk. Mfano, unakuta kiongozi labda yupo madarakani basi watu wanamchukia au kutomkubali kwa namna moja ama nyingine,ila aking’atuka madarakani basi kwa namna moja ama nyingine...
  12. #COVID19 Utenzi:-Kuipenda Tanzania, Ni Corona kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua,Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia,Afya...
  13. SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  14. SoC01 Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Sekondari

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa,kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi,mapishi tofauti,ujasiriamali,na...
  15. Mexence Melo: Mabilionea wajao Tanzania watatokana na Teknolojia

    Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums na Mwanzilishi mwenza akiwa kwenye Interview CloudsTzv amesema: "Mabilionea wanaokuja sasa hivi Tanzania watatokea kwenye teknolojia, hivyo Serikali iweke mazingira wezeshi" Je, huu msemo unaendana na wakati? ''Kama munaitaka mali mutaipata shambani''...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…