1/ Nimeusikia ujumbe wa Meya wa Manispaa ya Kinondoni unaowataka wananchi kupaka rangi nyumba zao ili kuboresha mandhari ya mji.
Lengo la kuwa na mazingira yanayovutia ni zuri na linaweza kuungwa mkono na wengi.
2/ Hata hivyo, kabla ya kuanza kuwataka wananchi kufanya maboresho ya mwonekano...
Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo utahusu mabwawa yaliyopo katika maeneo mbalimbali yakiwemo mahoteli, shule, na nyumba binafsi.
Utaratibu...
Wakuu,
Sasa hivi ni suala la muda tu hadi watembea kwa miguu wataanza kulipishwa kodi
Serikali imeona watu wanastarehe kwa bei ya kawaida kwenye sehemu za kuogoelea, wanataka sasa wawatoze kodi hao wanaomiliki hizo swimming
Nchi ina uranium, ina chuma pamoja na dhahabu. PAYEE mnakata hadi 30%...