Nomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku Jumatatu, kuthibitisha uchumba wake na mfalme huyo. Mfalme Mswati Ill ana umri wa miaka 56...