Mbunge Lidia Thorpe wa Australia ametolewa nje ya Bunge la Nchi hiyo baada ya kupiga kelele na kumfokea Mfalme wa Uingereza, Charles III alipolitembelea Bunge hilo jana Jumatatu.
Thorpe alisindikizwa nje na Walinzi baada ya kupiga kelele akisema hamtambui Mfalme huyo kama Mfalme wake na kwamba...