mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chizcom

    Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  2. youngkato

    Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi bidhaa za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.

    Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha. Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike. Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa? Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini? Mwaka jana nilikutana na jamaa...
  3. Idugunde

    Je , tutapata fidia ya gharama tulizotumia? Mfano mimi nimeendesha gari toka Igunga mpaka Lupaso stadium.

    Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaahirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu?
  4. K

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  5. Mkunazi Njiwa

    Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  6. mrED

    Kilimo kinalipa wanangu wa NETO

    Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli. Majibu tuliyo nayo niya written tu
  7. I

    Trump alivyolea wanawe ni changamoto kubwa kwa dunia inatakiwa tuige mfano wake

    Je, Donald Trump ni mtu wa namna gani na familia yake ikoje..!!?? Ukiangalia jinsi Trump alivyowalea watoto wake watano kwa kweli utashangaa sana na hii ndio maana hata jumuiya ya makanisa yenye nguvu na ushawishi mkubwa nchini Marekani ya Evangelical Christian Churches of America hupenda...
  8. F

    Video: Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano mzuri sana wa namba CCM inavyopaswa kutendewa.

    Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza watu hodari na wenye akili wa Nyamongo na ingekuwa vyema mno kama watu wa maeneo...
  9. K

    Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania iige mfano wa Kenya

    Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi ya Mwenyekiti na Makamishna wa Tume Huru ya Kenya na sharti ni kuwa anayetaka nafasi hizo ni lazima...
  10. george aloyce

    Hii ndio sababu kuu vita haitakuja kuisha Palestina vs Israeli

    MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina. Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na...
  11. chizcom

    Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  12. Yoyo Zhou

    Ushirikiano wa China na Afrika waonyesha mfano bora wa kuendeleza ustawi wa pamoja

    Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia unaotimiza miaka 35. Ziara hii inaonyesha ahadi ya kudumu ya kuimarisha ushirikiano na Afrika na...
  13. winnerian

    Kufifia kwa taasisi za serikali: Mfano TANROADS

    Taasisi nyingi za serikali zinapitia vipindi vigumu, ikiwa ni pamoja na changamoto mbili kuu: uhaba wa fedha katika kutekeleza majukumu yake na kuacha misingi ya kimuundo kwa taasisi hizo. Mfano wa wazi ni TANROADS. TANROADS (Tanzania National Roads Agency) ilianzishwa rasmi Julai 1, 2000...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Nashauri serikali ianzishe route za daladala zinazo zunguka duara bila kurudi nyuma pia daladala zipewe namba maalumu ili zitambuliwe na abiria

    Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi wanategemea daladala kama njia ya usafiri wa kila siku. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazohusiana...
  15. Paspii0

    Familia Takatifu: Mtindo wa Kiroho wa Kimungu katika Janga la Kivunjiko cha Familia za Kisasa na Mfano wa Maisha ya Kimungu Katika uhalisia

    👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
  16. mapema

    Kama nisipo jifunza mwaka huu wa 2024 niwe mfano wa kenge asiye sikia hadi damu kumtoka

    Kwamba Mwanamke asipo kuwa mama yako kaa nae kwa tahadhari sana. Hana huruma na mwanaume yoyote isipokuwa baba yake na mtoto wake! 2024 nimefahamu hili kwa gharama kubwa sana.
  17. Mejasoko

    Mbowe afuate mfano wa Bush Senior alivyokabidhi madaraka kwa Clinton 1993, itapendeza miaka 31 baadae alifanya hivyo kwa Lissu -(Handover letter)

    Tazama hii barua hapo chini pichani, huu utamaduni ni vyema ukafuatwa na viongozi wetu wa kiafrika
  18. Rozela

    Mfano mimi nianze kutaka Ukurugenzi JamiiForums Maxence Melo atakubali?

    Mara nyingi Max huwa anadai JamiiForums sio mali yake ni mali yetu. Sasa nikianza kufanya harakati za kutaka ukurugenzi mnadhani Max atakubali? Sasa jiongezeni na kule kwa yule kamanda. HALAFU MODS HUU UZI SIO WA KUFUTA, BORA UENDE HATA CHIT-CHATS.
  19. Mtoa Taarifa

    Askofu Bagonza: CCM huwa hawachagui Mwenyekiti, wanateua Mgombea Urais wanamteka kuwa Mwenyekiti wao

    Vyama vyote vya siasa hapa nchini ni vyama vya viongozi, siyo vyama vya wanachama. Vyama vyetu vya siasa hapa nchini vina tatizo moja kubwa, ni vyama vya viongozi sio vyama vya wanachama. Matashi ya wanachama hayaheshimiwi na viongozi, kwahiyo nani anagombea nani hagombei kwangu siyo tatizo...
  20. Lugano Edom

    Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
Back
Top Bottom