mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

    Wakuu, Wanawake wa Kenya mnakwama wapi? Ni excitement au despration ya kuingia ndoani? Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
  2. Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

    Amani kwenu Mwendo kasi ni mateso Mwendo kasi ni maumivu Mwendo kasi ni majonzi Mwendo kasi ni utungu Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman YESU njoo Africa tunateseka jaman
  3. Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  4. Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  5. Kelvin Yondan mfano wa kuigwa,miaka 43 bado anakipiga

    Kelvin Yondan mfano wa kuigwa,miaka 43 bado anakipiga. Sijui yuko wapi ila mpaka mwaka jana alikuwa Geita Gold akiwa bado miaka 43, kongole kwake kwa kujitunza
  6. Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs. Sasa tofauti ni wapi?
  7. Idea ni nyingi za biashara,jf ina mchango pia kutupa akili kwa mfano tazama idea yangu uipe marks

    Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee.. Nazi Mayai Maziwa Karanga Maji Maharage meupe Viazi Ndizi Pop corn Mahindi Mkate Unga Vitunguu swaumu Pia naweza kuweka t shirt nyeupe Raba...
  8. T

    Nimeshangazwa na Ushuru wa serikali wa kulipia mabango ambayo yapo kwenye biashara yako, mfano juu ya paa la sehemu yako ya biashara!

    Wakuu, Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na kudai yalipiwe. Hizo ni sheria za manispaa. Najiuliza sana, kuwa bango lengo lake ni kuelekeza...
  9. B

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
  10. Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
  11. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  12. Tufuate mfano wa malezi wa Christiano Ronaldo; hebu msikilize kwa makini hapa

    Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha. Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali zinapatikana kwa uchungu. Sio kila akiomba hela unampa halafu anaenda kuspend na girlfriend wake...
  13. Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  14. U

    WITO kwa Mwenye Mamlaka, wenzetu hao hata uwatendee wema vipi hawanaga shukrani fuata mfano wa mtangulizi wako!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni ushauri tu kwa mwenye mamlaka kuwa hawa wenzetu hata uwafanyie jambo gani jema hawanaga shukrani Kwamba wao kila siku ni kulalamika , kudai na kudai, kuzusha na kuzusha yaani hawanaga jema! Yaani ni watu wasiofaa hata kidogo! Hivyo Mwenye Mamlaka dawa Yao ni moja...
  15. Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
  16. Sauli ni mfano wa wamiliki wa mabasi waliofilisiwa na madereva fake

    Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji. Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi...
  17. Hii nchi ina watu wenye ufahamu mdogo sana. Wasomi kwa wajinga. Nitatoa mfano mmoja au miwili tu.

    2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k. Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi...
  18. Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  19. Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  20. I

    Demokrasia iliyokomaa nchini Marekani ni mfano wa kuigwa duniani kote.

    Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump. Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo. Na kama hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…