Ukiwa mfanyabishara Afrika /Tanzania kaa mbali sana makundi ya kisiasa usioneshe kufungumana na upande wa chama chochote au mtu yeyote .
Nchi zetu hizi za kiafrika bado utawala wa kidemokrasia haujakomaa kama nchi za wenzetu ambazo unaweza hata ukawa mfanyabishara wa makampuni mbali mbali na...
Habari zenu.Naanza mwaka 2018 ndiyo ulikuwa ni mwaka wangu wa kwanza kumjua mfanyabiashara au mjasiriamali ambaye anaitwa Paulo Mashauri.
Ilikuwa katika kituo cha redio cha Times FM kipindi kilikuwa kinaitwa "Mambo ya fedha" ambacho kilikuwa kinarushwa kila jumapili kuanzia saa...
Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.