Ukiwa mfanyabishara Afrika /Tanzania kaa mbali sana makundi ya kisiasa usioneshe kufungumana na upande wa chama chochote au mtu yeyote .
Nchi zetu hizi za kiafrika bado utawala wa kidemokrasia haujakomaa kama nchi za wenzetu ambazo unaweza hata ukawa mfanyabishara wa makampuni mbali mbali na...