mfaume

  1. uhurumoja

    Juma Said Mfaume: Je, tumpe Tuzo ya Man of The Year!?

    Habari wadau je jukwaa la wanaume na wanawake tumtangaze huyu jamaa ambae amekufa akimtetea mke wake dhidi ya wadai wake kama man of the year!? Maana si kawaida huenda mwingine angekimbia na kuacha "matatizo"kwa mke wake lakini yeye aliamua kuwavaa oya na kuwasababishia "matatizo" Zamani kabisa...
  2. Heparin

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia. Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
  3. JanguKamaJangu

    Pambano la Mfaume Mfaume na Iddy Pialali lavunjwa raundi ya kwanza

    Licha ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa mchezo wa ndondi, pambano hilo limeishia Raundi ya Kwanza kutokana na Iddy Pialali kupata majeraha baada ya kugongana na mpinzani wake. Wakati wakirushiana makonde Pialali alionekana akilalamika, baada ya mwamuzi kusimamisha ndipo ikabainika...
Back
Top Bottom