Licha ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa mchezo wa ndondi, pambano hilo limeishia Raundi ya Kwanza kutokana na Iddy Pialali kupata majeraha baada ya kugongana na mpinzani wake.
Wakati wakirushiana makonde Pialali alionekana akilalamika, baada ya mwamuzi kusimamisha ndipo ikabainika...