mfereji mchafu kibaha maili moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Mfereji wenye maji yenye kinyesi unatumiwa kumwagilia bustani za mbogamboga Kibaha Maili Moja, Wataalamu wetu mko wapi?

    Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…