Great Thinkers
Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini.
Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza.
Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao.
Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna...
Habari za asubuhi waungwana na wapendwa wa Jamii Forums.
Bila kupoteza muda, mimi ni mdau na mtumiaji wa barabara ya Mwalimu Nyerere takribani miaka saba sasa.
Kuna jambo ambalo kwa siku za hivi karibuni linanikera na naamini wapo pia wengine ambao linawakera nalo si jingine bali ni foleni...
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.
Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa...
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote...
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo.
====
➡️"TANROAD...
Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)
Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake.
Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee.
Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9
"Je, si mimi niliyekuamuru uwe...
Habari wana JF.
Leo nimefuatilia live wakati Eng. Mfugale anaagwa Dar. Kwa maelezo machache ya familia, idara na wizara ni wazi kabisa Eng. Mfugale alipewa sumu.
Wito wangu kwa Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa kutumia vyombo na njia zote. Kwa sababu bado hajazikwa nafasi ya uchunguzi wa...
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine...
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.