Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, Hussein Nassoro Kassu, ameonya baadhi ya watu wanaoeneza madai ya uongo kuhusu matumizi ya mfuko wa jimbo, akisisitiza kuwa iwapo yeyote atabainika kusambaza taarifa zisizo za kweli, hatua za kisheria zitachukuliwa.
Akizungumza na wananchi katika hafla ya...
Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo.
Waliohudhuria Kikao hicho:
(i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo
(ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006.
Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia) kwenye Sekondari za Kata za Musoma Vijijini.
Lengo letu la sasa ni Musoma Vijijini kuwa na High Schools...
MHE. NICHOLAUS NGASSA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MFUKO WA JIMBO.
Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga wakipitia mchanganuo wa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kuidhinisha matumizi. Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga kimeongozwa na Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mbunge wa...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Hai, Riziki G Lesuya ametolea ufafanuzi shutuma hizo zinazomhusu Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe
Pia soma:
Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo
MADAI
Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?
Aidha, inadaiwa kuna kila dalili fedha hizo wanalamba...
Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?
Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache.
Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba...
Kama ulikuwa unasikia tu kuna Fedha za "𝐌𝐟𝐮𝐤𝐨 𝐰𝐚 𝐉𝐢𝐦𝐛𝐨," basi tuelimishane hapa na kuchangia hoja hii.
Kwanza fedha za mfuko wa Jimbo zimetokana na sheria namba 16 ya mwaka 2009 ambayo ilitungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutambua mfuko huo kama "Constituency Development...
Dodoma. Serikali imeeleza kuwa fedha za mfuko wa majimbo zipo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya wananchi na sio za kununulia samani za ofisi za wabunge.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Mei 23, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), David Silinde ambaye amesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.