Barua hii inaonesha kulikuwa maelezo ya Bernard H. Konga kuachia nafasi hiyo yametoka mapema, kama jamaa wa JF aliyesema teuzi zinakuja kutondoa kwenye reli kwenye suala la binti wa yombo na sekeseke la akina Lissu
Unafikiri nini kilitokea huko ndani mpaka mkeka ukachanika?
Soma Pia: Baada ya...
Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba .
Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha
Na tushauri nini kwa Uongozi mpya au tunaokwenda kupata ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.