Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa Mamlaka husika zichukue hatua juu ya Tawi la Arusha anapodai kuna huduma zisizoridhisha na kwamba wamekuwa hawawajali Wateja.
Kusoma zaidi alichoandika...
Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kustaafu basi sisi watoto hatutoweza kunufaika na mfuko huo.
Kinachonishangaza ni...
Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao.
Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
Hapo vip!
Kuna jamaa mmoja alikuwa ameajiriwa na serikali kitengo fulani.
Ila wakamfukuza kazi kwa tatizo la utoro ila hapa anasema wahuni wamemtengenezea sengwe kisa katoka masomoni akiwa na elimu zaidi ya Boss wake.
Sasa jamaa kaenda PSSSF kudai mafao yake anaambia ile ya muajiri hapewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.