mfumo bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfumo bora wa kusimamia nyumba za wageni wa kipato cha chini na kipato cha kati

    Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi. Nyumba za wageni...
  2. P

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye mfumo bora wa kukomesha ukatili kwa watoto

    UTANGULIZI Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali ikiwemo kimwili Kama vile ukatili wa kingono. Licha ya serikali kuweka Mambo mbalimbali kukabiliana na...
  3. SoC04 Kuandaa mpango kazi juu ya upatikanaji wa vitambulisho online

    Mim nilikuwa nashauri serikali ianzishe mpango kazi mzurii juu ya kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho kwa njia ya mtandaoni(online)ambapo mwananchi ataweza kuweka tarifa zake mtandaoni akiwa mahari popote nchini,ili kupunguza usumbufu wa wananchi kwenda ofisi za nida ambapo muda mwingnee...
  4. ACADEMIAZSOFT: mfumo bora wa Uendeshaji wa Shule katika namna bora na ya kisasa

    Hujambo ndugu mwana JF. Karibu AcademiazSoft. RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi. Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa fursa ya kufanya masuala yote yahusuyo uendeshaji wa shule yako katika platform moja iliyoboreshwa...
  5. SoC04 Tanzania tuitakayo itatimia na mfumo bora wa elimu

    ELIMU: MSINGI, KING'AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE. Chanzo: Google Help Nchini Tanzania, suala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, Wala kuelekeza nguvu kubwa katika kunadi sera za elimu pekee, bali tunahitaji kufanya mchanganuo na...
  6. SoC04 Tanzania ya baadae: Kuelekea Mfumo Bora wa Elimu ya Ufundi Tanzania

    kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
  7. Vijana wengi wa Kiafrika wanaona miundo ya Kidemokrasia Afrika inahitaji maboresho

    Licha ya hamu kubwa ya kidemokrasia, vijana wa Kiafrika hawana nia ya kuiga demokrasia za Magharibi. Badala yake, wanafikiri kuwa miundo na mifumo ya kidemokrasia inapaswa kubadilishwa ili kuendana na mazingira ya ndani ili kufanikiwa. Kwa mujibu wa utafiti wa African Youth Survey wa mwaka...
  8. R

    USHAURI: TRA, Rudisha na kusanya Kodi ilojulikana maarufu kama Kodi ya matching guy Kwa mfumo Bora zaidi

    Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi ya lak 8, akalipa umeme, service levy, mshahara wa wafanyakazi, maji, taka, akabaki na pesa kulipa...
  9. F

    SoC03 Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania

    Elimu ni nini? Ni ujuzi ambao kitu chochote au mtu yeyote mwenye ufahamu anaupata ambao atamsaidia katika maisha yake ya kila siku. Unapopata ujuzi katika maisha ni moja ya njia ya kujikomboa na kujua nini kifanyike katika mazingira yanayokuzunguka. Ukiwa na ujuzi wa elimu mbalimbali hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…