“Niliingia katika siasa kwa sababu, niliona masuala mengi ya wanawake hayaingii kwenye sera mipango na bajeti kwa kuwa, nafasi nyingi za maamuzi zimeshikiliwa na wanaume.
“Hiyo ni kwasababu ya kushamiri kwa “Mifumo Dume” katika vyama vya Siasa nchini, nilitamani kuingia kwenye uongozi kufanya...