Tangu dhambi ilipoingizwa na mwanamke duniani, Mungu aliamuru mfume dume ktk familia. Soma { Mwa 3:16 akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako na kuzaa kwako kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye atakutawala}
Siungi mkono wanaume kuwatesa na kuwanyanyasa...