mfumo wa ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KingPower

    Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
  2. John Gregory

    Mfumo wa ajira portal umekumbwa na nini?

    Wakuu vipi huko kwenu mnaweza kupata access ya ajira portal? Huku kwangu mambo yapo hivi
  3. A

    DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  4. N

    Changamoto kwenye mfumo wa Ajira Portal

    Habari wakuu! Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi...
  5. Mkalukungone mwamba

    Mbunge Saputi: Ipo haja ya wataalamu wanaoandaa vigezo vya ajira kuangalia hali za Watanzania kwani kigezo hicho hakiko sawa

    Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (CCM) Noah Lemburis Saputi amesema ipo haja ya wataalamu wanaoandaa vigezo vya ajira kuangalia hali za Watanzania kwani kigezo hicho hakiko sawa huku akitaka serikali kujiridhisha umri wa Mtanzania mwenye uhalali wa kuajiriwa. Saputi ameyasema hayo Jumatatu...
  6. A

    KERO Mfumo wa Ajira Portal hautambui mabadiliko ya elimu, huwezi kuomba tofauti na Elimu uliyojaza awali

    Mfumo wa Ajira Portal wa Secretariat ya Ajira ambao unapatikana katika tovuti ya Public Service Recruitment Secretariat | PSRS una changamoto kadhaa ambazo zimekuwa kikwazo kwa sisi Watumiaji wengi. Mfumo huo hauruhusu kwa Watu wenye level ya elimu zaidi ya moja kujisajili na kuomba ajira...
  7. A

    KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma iangalie vizuri mfumo wa Ajira Portal unatutesa tunashindwa kutuma maombi, kila ukijaza taarifa hazifiki asilimia 70 na pia hakuna mfumo wa kubadili vyeti ulivyoviweka ili kuweka vingine. Sijui inakuwaje na ajira zote zinatumwa huko.
  8. B

    Mfumo wa Ajira kwa watumushi wa Serikali ubadilishwe ili kuleta matumaini kwa Watanzania waliopo shuleni

    Kwanza kabisa muasisi wa taifa letu hayati Mwalimu JK Nyerere alisema kila mtanzania anapaswa kupambana na adui watatu ambao ni: 1. Ujinga 2. Umasikini 3. Maradhi Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua tulipo fikia maana tumeweza kufaulu lakini sasa badala ya kupunguza maadui hapo basi...
  9. M

    KERO Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

    Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania! Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
  10. D

    Niliyoona leo kwenye mfumo wa ajira wa Polisi ni Kituko

    Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
  11. Mhafidhina07

    Mfumo wa ajira umekuwa ni wa unyanyasaji na uzalilishaji

    Ni haki ya kila Raia kufanya kazi mahala popote nchini ikiwa atakuwa ni mwenye kutimiza vigezo na masharti ya nafasi atakayoiomba, ila kwa sasa imekuwa ni tofauti sana katika hizi taasisi zinazotoa huduma hii ya kuajiri mfano mdogo jeshi la polisi wenyewe wanatambua kuwa Kwa post walizotoa kuna...
  12. mackj

    SoC04 Wakurugenzi wa halimashauri wapatikane kwa mfumo wa ajira ili kuleta dhana ya utawala bora na uwajibikaji kwa wananchi na siyo kwa watawala

    UTANGULIZI. Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
  13. ngara23

    Mfumo wa ajira za Serikali umejaa Ruswa

    Siku hizi ni kawaida kama zitatangazwa ajira zozote za serikali vijana kuhangaika kutafuta watu wa kuwabeba maana kwenye vigezo watumishi wa serikali hawazingatii Vijana wengi wamekata tamaa ku apply ajira zinazktangazwa na kuziona kama kiini macho tu kwa umma maaana kiukweli serikali wana watu...
  14. B

    Mfumo wa kuomba ajira wa TRA hauna sehemu ya namba ya NIDA

    Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
  15. nashukuru mzima

    Kujitolea (Volunteer) imekuwa tabia kandamizi katika mfumo wa ajira nchini

    Habari, Kujitolea katika Serikalini au kwenye private kwa sasa imekuwa ni ugonjwa mkubwa sana nchini. Baada ya Uhaba mkubwa wa ajira nchini, kumekuwa na wimbi la Hali ya mashirika,taasisi za umma na binafsi kuhitaji watu wa kujitolea kwenye sehemu za kazi. Kiuhalisia kujitolea sio jambo baya...
  16. muafi

    Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  17. Adqcos

    SoC02 Mfumo wa ajira katika Taasisi Binafsi za Afya na za Serikali

    Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa, Wateknolojia Maabara na Afisa Tabibu Meno. Mifumo ya elimu kwa ajili ya kumuandaa mtu wa kusomea taaluma...
  18. J

    SoC02 Mfumo wa ajira nchini ubadilishwe

    MFUMO WA AJIRA NCHINI UBADILISHWE Wakati ni sasa wa serikali pamoja na sekta binafsi kuja na mbinu au mkakati mpya wa ajira na kuajiri nchini. Sote tunajua hivi sasa kuna malalamiko mengi kwa wananchi walio wengi kukosa ajira pamoja na kwamba elimu na sifa zote za kuweza kuitumikia nchi yao...
  19. S

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly. Kwanini sehemu ya...
  20. judy0

    Msaada kuhusu mfumo wa ajira

    Habari za siku nyingI wana jf? Poleni sana na kazi. Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika. *Hivi mfumo unachaguaje watu? *Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na...
Back
Top Bottom