mfumo wa chama kimoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mejasoko

    Ni Bora turudie mfumo wa chama kimoja tu (CCM) basi!

    Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
  2. econonist

    Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  3. G

    Pre GE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  4. Black Butterfly

    Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  5. Mto Songwe

    Mkiwa na akili Mfumo wa Chama Kimoja mzuri sana tofauti na Mfumo wa Vyama Vingi

    Acha niweke wazi hapa mwanzo kabisa kuwa binafsi siungi mkono mfumo wa chama kimoja hapa taifani. Haya turudi kwenye uzi. Kwa watu au taifa la watu wenye akili mfumo wa chama kimoja ni moja ya mfumo mzuri na bora sana katika kutawala na kuleta maendeleo na kuimarisha umoja. Hii nafasi wanayo...
Back
Top Bottom