Wakati mabillioni ya nyota zilizo sambaa angani kwenye galaxy ya mlky way linapatikana JUA ambalo ndio muhimili wa mfumo wetu wa jua (Solar system). jua letu limetengenezwa takribani miaka billioni 4.5 iliyopita ilietengenezwa baada ya mkusanyiko wa gesi na moshi wenye vumbi vumbi inayojulikana...