mfumo wa maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. winnerian

    Kwanini Tanzania haiko tayari kunakili mfumo wa maendeleo ambao tayari umeonekana kufanikiwa katika nchi zilizoendelea kama vile Ulaya na Amerika/US?

    Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa.. Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania. Kwanini?
Back
Top Bottom