mfumo wa malipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. State Propaganda

    BRICS yafanya demo ya mfumo wa malipo kwa kadi (BRICS payment system cards) ikiwa ni maandalizi ya mfumo mpya wa malipo BRICS Pay

    Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS. Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi...
  2. Upekuzi101

    KERO TANAPA mna shida gani? Wageni kukaa siku nzima getini kisa mfumo wa malipo haufanyi kazi si sawa

    TANAPA mnashindwa kuwa service conscious, mnashindwa kuwa time conscious na mnashindwa kufanya maamuzi sahihi linapotokea tatizo, wageni wamekaa siku nzima getini eti kisa mifumo wa malipo haufanyi kazi? Mgeni kalipa flight, kalipa visa, kalipa accomodations, kalipa gari, kalipa park fees na...
  3. t blj

    Nani anahusika na mfumo wa malipo wa serikali - GEPG?

    Habari wakuu, Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban mwezi sasa! Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa kufanya na kuhakiki malipo ya serikali. Ni...
  4. Donnie Charlie

    Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

    Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT). Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya...
  5. Iziwari

    Weka mfumo wa malipo unaotumia M-Pesa na Airtel Money kwenye tovuti yako

    Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri. kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka. Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara...
  6. Rockefeller

    Mfumo wa malipo kwa ajili ebusiness

    Habari za mida wakuu, Kama kichwa kinavoeleza naomba kijua jinsi gani naweza tengeneza mfumo wa malipo kwa website yangu.
  7. sokoniinc

    Je unajua kuhusu hili? Ugunduzi mpya wakitaalam mfumo wa malipo kwenye tovuti yako kwa wale wenye kampuni iliyosajiliwa

    Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma. Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo. Mifumo ya malipo iliyopo haimruhusu mtanzania kuweza kutumia tovuti yako. Na kufanya manunuzi ya kitu...
  8. B

    Naanzishaje mfumo wa malipo mtandaoni, kwa kupitia App au kadi

    Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo. Najua hii nchi ina bureaucracy na changamoto na hizo pia ningependa kuzijua.
  9. Rurakha

    Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

    Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
  10. chizcom

    Paypal na ebay zinaweza kutengana kwa sababu ya ebay kupendelea mfumo wa malipo Adyen

    Kampuni ya paypal kwa habari zilizopo inakamilisha mpito wa mikataba yake ifikapo julai 3 2023. Kujiondoa na ebay swala la malipo. sababu zilizopelekea paypal mpango wa kujiondoa ni kutokana na kushuka sana mauzo ya hisa asilimia -36.23%. Hata hivo mfumo mpya mbadala utakuwa kwenye malipo ya...
Back
Top Bottom