Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu wa serikali ameliona hili. Tuna wakuu wa Wilaya,wakuu wa mikoa , wabunge Takukuru nk wote kweli...
This video is Courtesy of SK Media Online TV.
=====================================================
KWA UFUPI;
1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..."
2...
Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka.
Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu...
"WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua.
Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana.
Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
Waziri anazungumzia nishati safi huku akijuwa pamoja na kutoa hiyo mitungi yake ya gesi ajue kuwa itageuzwa kuwa viti vya kukalia kwani gesi haikamatiki bei ipo juu.
Kama asingekuwa anadanganya umma katika utekekezaji wa suala hili basi angewashawishi wafanyabiashara wapunguze bei ya gesi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.