mfumo wa tehama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Kama serikali inataka mfumo wa TEHAMA kufanya kazi kwa pamoja, mifumo yake itazame hii NVIDIA GB200 NVL72

    NVIDIA GB200 NVL72 ni mfumo wa kiwango cha juu unaounganisha CPU 36 za Grace na GPU 72 za Blackwell katika muundo wa rack-scale. Mfumo huu ni wa kupozea kwa kioevu na unajivunia kuwa na NVLink domain yenye GPU 72, inayofanya kazi kama GPU moja kubwa sana na kutoa uwezo wa kuendesha mifumo...
  2. Cute Wife

    Duniani nzima imetetereka leo kutokana na hitilafu ya mtandao kwenye kampuni ya Microsoft, Tanzania tumejifunza nini?

    Wakuu, Tunategemea mambe mengi toka kwa Wazungu, leo mifumo ya Microsoft imesumbua mambo mengi yamesimama, wote wanaotumia products za Microsoft wametikiswa na suala hili, swali ni je, sisi wategema wa Wazungu tumejifunza nini? Tunafanyaje kupata ujuzi huo na kuanzisha vya kwetu? Tuna program...
  3. Yoda

    Mfumo wa TEHAMA watetereka dunia nzima baada ya Kampuni ya Microsoft kupata changamoto kwenye mifumo yako

    Taarifa inayoendelea kwa kasi sasa ni IT kuvurugika dunia nzima. Summary * Major IT outages have hit industries across the world; almost 1,400 flights are cancelled and banking, healthcare and shops affected * Cybersecurity firm Crowdstrike says a "defect" in one of its software updates hit...
Back
Top Bottom