TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha TEHAMA.
1. Website yao ina mambo mengi sana, inatembelewa na wateja wengu sana. Walitakiwa kuongeza...
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?
Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
Habari wakuu
Tujadili mfumo ulioboreshwa wa kuweka TIN number katika manunuzi yako au mauzo yako hivo kufanya vyote vionekane TRA.
Mnunuzi na muuzaje watakapo toa au kupokea risit isiyo na tin number Basi nikosa kisheria hivo utalipa faini ya 3000000-4500000 hiyo Itakua nikwamfanya biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.