mfumo wa utawala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Nape Nnauye na January Makamba mfumo wa utawala wa sasa umewakataa. Nendeni upinzani mungu atawatokea mkiwa huko huku hata bungeni hamrudi 2025!

    Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mbunge wa Chato, mbunge wa Kilolo, mbunge wa Kigoma Mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa...
  2. Unawezaje kutofautisha Mfumo na Utashi wa mtu?

    Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna Taasisi. Mtu hua ni mtumwa/zao/kiungo katika mfumo hivyo mfumo unamuhitaji mtu ili kujiendeleza kuwepo kwa...
  3. Rais Samia ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala Tanzania

    Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
  4. Tukope Trilioni moja kuukarabati mfumo wa Utawala Bora na Sheria ili kumaliza yote yanayoirudisha nchi yetu nyuma

    Kuukarabati mfumo wa "Utawala bora" pamoja na sheria zetu ili kuziba na kurekebisha mianya, nyufa, matobo, maadili mabovu, uzembe ofisi za umma, pamoja na mambo yote yanayoifanya nchi yetu iende kinyumenyume ikiwa jitahada za dhati zinafanyika na viongozi wakubwa lakini bado matokeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…