Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki.
Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa...
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
Habari za uzima
Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo
Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000
Kawaida Toka 12000-15000
Hivi hamna dini NYIE wauzaji
Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana?
Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana)
2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
Poleni kwa mfungo wa ramadhan na kwaresma, safari hii swaumu zimeongozana, sasa ndg zangu nina swali naomba tulijadili kwa mapana yake:
Ni hivi kila ifikapo mfungo wa ramadhan taasisi mbalimbali za umma na binafsi, mabenki, watu binafsi huandaa futari au kufutulisha makundi mbalimbali kwenye...
Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka.
Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
Salaaam...
Tupo katika kipindi ambacho Waislamu na Wakristo kwa pamoja tupo katika mfungo.
Hata hivyo ndani ya kipindi hiki, si wote tutafunga/ tunafunga na hii ni kutokana na sababu mbalimbali aidha kiafya na nyinginezo ambazo hazitaruhusu uwe katika mfungo.
Uzi huu ni maalumu kwa wale...
Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina.
Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani,
hebu mniambie mbinu nitakayoitumia kukwepa kufunga.
Ni hayo
Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani?
Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir: Mwezi haujaonekana...
Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani.
Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi.
Mtu...
Kumekuwa na malalamiko kadhaa kuhusu marefa
Hakuna aliemsafi ila KUNA matukio ya AIBU AMBAYO unaweza shangaa limetoka neno baya
TUNAOMBA
Chama cha marefa wapen somoo maana ya mfungo na jinsi ya kuheshimu wanafunga
Else naona wengi wakiharibu swaumu zao kama wataendelea kuangalia hizi mechi...
https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_
DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956
Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU.
Waliokaa chini kutoka kulia:
1 Sheikh Hussen Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohd I. Chaurembo...
KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA
Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu.
Wakati huo Mzee Kitwana Kondo alikuwa Mayor wa Dar-es-Salaam na akiishi Oyster Bay.
Mimi na wenzagu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili
Akitoa...
Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani.
Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani.
Pia...
Waislam wakifunga hata usiyemuislam utafaidi. Sio wachoyo, Sio wabaguzi kwenye futari. Nimewahi kupanga nyumba moja na waislam ikifika mfungo sisi wakristo tulikuwa tunafaidi sana. Kikipikwa chakula cha kufuturu na sisi tumo kwenye bajeti hata kama wanajua hatujafunga.
Wakristo tukifunga, mara...
tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.