Nilicho kuja kugundua watu hawafungi kweli wana funga kufwata mkumbo mtu anafunga anawaza ramadhani iishe anasema kabisa iddi mosi naenda kusex mbaya zaidi anatongoza uku akiwa kwenye mfungo
Hii ina maana kwamba watu mfungo wanafunga kinafiki sana haina maana ya wao kufunga
Wasalaam
Wakuu mwezi huu ni wa heri kweli
Madhehebu makuu mawili kwa asilimia kubwa wako katika mfungo,japo kila moja lina namna yake na makusudi yake,lakini lau wote wanalenga kuwa na mahusiano mazuri na Mungu.
Mungu ni mwanga...tunavyozidi kumkaribia au kuonesha juhudi za...
Poleni kwa mfungo wa ramadhan na kwaresma, safari hii swaumu zimeongozana, sasa ndg zangu nina swali naomba tulijadili kwa mapana yake:
Ni hivi kila ifikapo mfungo wa ramadhan taasisi mbalimbali za umma na binafsi, mabenki, watu binafsi huandaa futari au kufutulisha makundi mbalimbali kwenye...
Katika kipindi hiki muhimu cha Kwaresma kwa Wakristo na Ramadhan kwa Waislam, tunapoadhimisha nyakati hizi takatifu za toba, tafakuri, na kujitakasa, ni vema tukatafakari nafasi yetu kama jamii inayotafuta haki, amani, na utu. Wakati mamilioni ya waumini wakijinyima na kujitenga na starehe za...
Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka.
Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
Kwanza naamini katika uwepo wa mungu na Kila jumapili nashiriki misa takatifu ya pili katika kanisa katoriki la karibu yangu.
Pengine katika ukuaji wangu yawezekana nilikosa elimu juu ya ufungaji na faida zake. better late than never naomba elimu juu ya ufungaji na faida zake.
Bismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.
Kuweni Makini na Allah Subhannah...
Wasalaam
Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao
Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Taifa letu linaendelea kuwa lenye baraka na Neema kwa sababu linaongozwa na kiongozi Mwenye hofu ya Mungu, kiongozi Mcha Mungu,kiongozi mnyenyekevu, kiongozi mwenye kuishi Maisha yenye kumpendeza Mungu, kiongozi mwenye mikono safi na matendo safi ,kinywa safi na matendo...
Kufunga kidini ni kunyongomyesha mwili Ili kukua na kupata nguvu kiroho ila hili la kufunga
WAKRISTO wa madhehebu ya kokole wapo vizuri mno kuliko waislam WAKRISTO hao Note: wasio Romans hufunga siku kavu bila kula na bila kuchange ratiba ya kula
WAISLAM kwakweli huwa wana change ratiba ya...
tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
Salaam, Shalom!!
DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki,
Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake,
Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini?
Au wana dini ila Hawajafunga?
Nauliza tena...
Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.