mfungwa wa magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi kuna Tofauti gani kati ya afisa magereza na mfungwa wa magereza?

    Hili ni swali ambalo najiuliza sana kwa hawa askari magereza tofauti yao na waasi wauwaji, wabakaji na wahujumu uchumi. Walioko jera ni ipi!! Ila askari magereza wanalinda watu mpaka wanapostaafu na wengine wa makosa ya miaka 10nk huwaacha maasikari magereza wakiendelea na kifungo huru. Shamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…