mfungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Marwan Barghouti: Kwanini mfungwa huyu anahusishwa na mpango wa amani wa Israel na Hamas?

    Barghoit anasadikiwa kuwa ndio Mandela wa Palestina. Habari kamili: Mwanasiasa wa Kipalestina, Marwan Barghouti, kiongozi wa vuguvugu la Fatah ambaye kwa sasa anazuiliwa katika jela ya Israel, ni mhusika mkuu katika makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas. Katika mpango huo...
  2. Vijana tujiajiri, kataa kuwa mfungwa

    Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha yako jambo ambalo sio la kweli moja kwa moja na hii yote ni kutokana na ile dhana ya uoga wa...
  3. A

    DOKEZO Afisa Mtendaji Kata ya Kyengege anaendelea na majukumu yake huku akiwa anatumikia adhabu ya kifungo

    Habari ndugu zangu Wana JamiiForums, ninaomba kusaidiwa suala hili 1) Hivi Sheria za nchi zinaruhusu mfungwa kuendelea na wadhifa wake kazini au ni huku Kwetu Iramba tu? Ninaleta mada hii kutoka kata ya Kyengege wilaya ya Iramba mkoa wa Singida. Katika kata yetu Afisa Mtendaji wa Kata...
  4. Ndoa ni gereza ila hakikisha usiwe mfungwa

    Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote. Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo hugeuka gereza. Vijana wa kiume nanyi msioe wala kuishi kwenye ndoa kwa sababu mwanamke anapika...
  5. Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

    DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012 Mahakama Kuu ya Tanzania ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya...
  6. Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  7. Video ya mfungwa wa vita akikatwa kichwa na wanajeshi wa Urusi

    Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho wa mwanajeshi wa Urusi nchini Ukraine) akimkata kichwa mwanaume aliye hai aliyekuwa amevaa sare ya...
  8. Kabrasha chumba cha kunyongea

    Adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ni mojawapo ya adhabu kongwe na ya kuogofya zaidi duniani... Na ndio adhabu ya juu zaidi.... Kunyongwa hadi ufe kabisa baada ya kuthibitishwa na mahakama tuhuma zako Kuna taratibu ngumu na za muda mrefu hadi mtuhumiwa afikie kunyongwa kwakuwa kuhukumiwa kunyongwa...
  9. Wanaokwenda jela si wote wana hatia, hata wewe kesho unaweza kuwa mfungwa

    Hakuna anaejua siku yake ya kesho itakuwa vipi, lolote laweza kutokea uwe muhalifu ama sio mhalifu waweza kujikuta umeingia rasmi 18 za kwenda gerezani. Wiki iliyopita nilienda mtembelea rafiki gerezani, yupo kwa takribani mwezi sasa kosa likiwa kununua simu kwenye magroup haya ya whatsapp...
  10. Yule Mfungwa aliyemshtaki Askari kwa Magufuli anaendeleaje?

    Takriban Miaka 3 iliyopita Rais aliyekuwa madarakani (hayati JPM) alitembelea gereza la Butimba, Mwanza kwa ajili ya kukagua maendeleo katika gereza hilo. Naam alijitokeza kijana mmoja ambaye alikuwa na mfungwa na kutoa tuhuma kadhaa dhidi ya askari fulani gerezani hapo. Tuhuma zile zilimletea...
  11. Iran: Mfungwa aliyekamatwa kwa kuipinga Serikali anyongwa

    Serikali imetangaza ni tukio la kwanza la kunyongwa hadharani kwa Mohsen Shekari aliyekutwa na hatia ya kufanya uhalifu ikiwemo kumshambulia Askari kwa Kisu na kufunga Barabara Adhabu hiyo inakuja wakati wafungwa wengine pia wakikabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa kifo kwa kuhusika katika...
  12. Morogoro: Mfungwa aliyetoka gerezani kwa msamaha wa Rais adaiwa kufanya mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mmoja wa wafungwa ambao waliachiwa huru kwa msamaha wa Rais mnamo Mei Mosi, 2022, Nestory Elias (62) kwa tuhuma za mauaji. Elias anadaiwa kumuua Mwajuma Sadru (75), Mkazi wa Mtaa wa Bong'ola kutokana na mgogoro wa kugombania eneo la biashara ambalo...
  13. Maisha ya mfungwa anayesubiri kunyongwa gerezani

    Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani. “Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu bila kuona hata jua na baadhi wamefikia hatua ya kuchanganyikiwa kutokana na msongo wa mawazo,”...
  14. Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
  15. Siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, hakuna mfungwa aliyesamehewa?

    Ama kweli hii ni awamu ya Sita! Nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda, kulikoni? Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…