Habari zenu ndugu zangu naomba kwa anayejua anisaidie.
Mwezi uliopita nilipata ajali na kwa bahati mbaya nilivunjika mvupa wa mkono karibu na viungio katika bega sasa nina mwezi bado mfupa haujaunga zaidi nakwenda hospitali nabadilishwa P.O.P na sitaki kutia chuma nawaombeni msaada kwa anaejua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.