mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI - MWANZA

    Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja Eneo: Mwanza Mjini Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja Mwisho wa Maombi : 27-02-2025 CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza Mjini kwa ajili ya kazi ya kukusanya data za wateja. Sifa za Mwombaji: • Awe mkazi wa Mwanza...
  2. Nimetoka kumzika mshauri wangu wa afya alieniambia nitakufa muda mfupi kwa kumix energy drink na K Vant

    Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali wanaolinda Afya na wasiolinda. Binafsi mimi napenda kuishi katika maisha yanayonipa furaha ila licha ya...
  3. Kupe, mdudu anayeweza kumfilisi mfugaji ndani ya muda mfupi

    Kupe ni wadudu wanaoonekana kuwa ni wadogo lakini wanaweza kusababisha kushuka kwa uchumi wa wafugaji kwa kiwango cha juu endapo hawatadhibitiwa kwa wakati. Pamoja na kuwepo kwa aina mbalimbali za kupe, kupe wa rangi ya kahawia ni wabaya zaidi. Hii ni kwa sababu kupe wanabeba vimelea...
  4. K

    Mkombozi kwa wenye matatizo ya shimo la choo kuja baada ya muda mfupi.

    Mashine unayoiona hapo itakupa suluhisho lakudumu nautasahau kabisa kuhusu tatizo hilo. Kwa maelezo njoo inbox. 0743815045
  5. Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  6. M

    Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  7. Muda wa ajira kwa baadhi ya kada za Serikalini uwe mfupi

    Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa. Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
  8. S

    Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  9. Ninachojua kuhusu Dhamana za Serikali za muda mfupi /T Bills

    1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅ 2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅ 3. Hazina kodi ✅ 4. Huwezi chukua muda wowote✅ 5. Zinauzwa siku maalumu✅ 6. Ni za serikali siyo binafsi✅ 7. Watu wengi. hawaujui kabisa aina hii ya uwekezaji✅ 8.Dhamana za muda mref zinaitwa Premium...
  10. Shusha nondo kuhusu T-Bills au dhamana za serikali za muda mfupi

    Wakuu, kupitia uzi wangu wa UTT nimejifunza kuhusu T bills au Dhamana ya serikali za muda mfupi. Ninachojua ni Mnada kama wa fedha! MWENYE UJUZI WA DHAMANA YA MUDA MFUPI ASHUSHE NONDO!! #Bila-Nyinyi-Sitoboi
  11. Mapendekezo kwa TBS ili kuzuia matumizi ya kemikali ya Ethylene katika kuivisha ndizi kwa muda mfupi na kuokoa afya za walaji

    Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao. Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
  12. IDF inakaribia kuandaa tangazo kwamba Iran haitaweza tena kufadhili ugaidi kwa miaka 200 ijayo

    Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran. Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
  13. Wachezaji wa Kibongo waliong’aa kwa muda mfupi na kupotea

    Naanza na Said Bahanuzi, Salim Ayee. Endelea na orodha…
  14. Jemedari Saidi: Huna hata kombe la kuonyesha kwanini shughuli yako isiwe ya muda mfupi.

    Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia kwanini shughuli isiishe mapema Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi😂😂😂😂😂 Duniani kama hujafanya mambo makubwa hata MSIBA wako utakuwa mfupi yaani utasikia MAREHEMU alizaliwa...
  15. Ni sehemu ipi sahihi ya kuelezea siri au kitu kinachokusumbua kwa muda mfupi au muda mrefu?

    Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana. Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri. Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana. Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako? Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
  16. Maumivu kwenye tumbo au mbavu (wengi huita vichomi)

    VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
  17. Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  18. Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  19. Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

    Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
  20. Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…