Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...