Mimi ni msichana mwenye miaka 17 nipo form three (kidato cha tatu) katika shule moja hapa mjini. Nimekuja huku leo ili kuomba ushauri mimi ninasoma shule ya day na ninaishi kwa dada yangu ambae ameolewa,Tatizo ni kwamba dada yangu huwa anaingia kazini usiku hivyo kuniacha mimi na mumewe nyumbani...