mgahawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Mwenye Mgahawa huu angekuja kuwekeza hapa Tanzania

    Huu mgahawa upo japani ni special kwa wavivu tu
  2. Makonde plateu

    Nilikuwa nauza mgahawa sasa nina hotel mbili

    Kwa hapa nilipo nashukuru, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine. Mume wangu aliponiacha nilipitia hali ngumu ya maisha haswa kulipa kodi, kuwapatia watoto chakula, kuwavalisha na huduma nyingi ambazo...
  3. T

    Mipango miji Ilala wamewezaje kuruhusu mgahawa wa kienyeji kujengwa mbele ya Hotel ya Johari Rotana?

    Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo kuna hoteli ya Johari Rotana, kwenye geti la kuingilia kwenye Hotel. Johari Rotana ni 5 stars...
  4. Meshaki Richard

    mashine za bakery au hotels na mgahawa pitia hapa

    Hello wana jamvi kwa wale wanaohitaji kuanzisha bakery au Hotel na mgahawa mashine zote unazipata dukani kwetu tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi. Mashine zetu zote zina waranti pia bei zetu ni nafuu sana na wale wa mikoani tunakusaidia namna gani usafirishe mashine yako Mashine zilizopo...
  5. BOB LUSE

    Nahitaji mtu wa kufanya naye ubia, anayejua kupika vyakula mbalimbali vya kiswahili

    Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko. Vijana wanalalamikia...
  6. C

    Tetesi: KFC kufungua mgahawa Katavi

    Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
  7. Aramun

    Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

    Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na...
  8. ndege JOHN

    Sababu Kubwa kwanini biashara ya mgahawa wa chakula ni bonge moja la idea.

    1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula 2.rahisi kuikuza kwani ubunifu wako ndo utafanya upate wateja mfano mtu anakula pale mezani ila kuna vipeperushi vya menu...
  9. Ritz

    Watu 2 wapigwa risasi Israel ndani ya mgahawa

    Wanaukumbi. WATU 2 WALIPIGA RISASI ISRAEL NDANI YA MGAHAWA Kick Streamer JohnnySomali Alieleza kuwa alishuhudia tukio la kupigwa risasi katika Mkahawa Huko Israel "Mtu alikuja tu kwenye mgahawa na kuanza kumpiga risasi kila mtu. Nilikuwa tu katika shambulio katika mkahawa mmoja huko Jaffa...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

    Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
  11. Influenza

    Mgahawa wa kwanza wenye uwezo kamili wa kujiendesha kwa kutumia Akili Mnemba (AI) wafunguliwa

    Roboti zimefika... huko Pasadena, Kusini mwa California. Mwishoni mwa Desemba 2023, CaliExpress ilifungulia Mgahawa wa kwanza kabisa duniani wenye uwezo kamili wa kujiendesha kwa kutumia AI - Artificial Intelligence (Akili Mnemba). Mteja anatakiwa kutoa oda yake mapema ili kupata huduma ya...
  12. Barackachess

    Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  13. R

    Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?

    Wakuu weekend inaendaje? Usafi ni muhimu kila sehemu, na linapokuja suala la chakula mkazo zaidi unahitajika, maana ukizembea kidogo tu unaweza kuathiri vibaya walaji wako hata kupelekea kifo uchafu aliokutana nao hapo ni mkubwa na kutengeneza sumu kali. Umeshawahi kukagua sehemu unayokula...
  14. W

    Baada ya kufuatilia uendaji wa chooni wa huyu dada muuza mgahawa, nimejiapiza sili tena migahawa ya uswahilini

    Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%...
  15. Zikwe

    Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi

    Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba. Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo; i) - Sinza ii) - Kinondoni iii) - Magomeni !v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
  16. Mbunifu Mwaminifu

    Nataka kufungua mgahawa ambao utakuwa maalum kwa kuuza Biriani tu maeneo ya Kinondoni

    Salaams wana jamvi. Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali. Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
  17. B

    Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

    Je unaweza kushiriki chakula cha jioni ukiwa mtupu bila nguo na watu 40 usiowafahamu? • Huko nchini Marekani upo mgahawa unaowapokea wateja wanaopenda kupata mlo wakiwa watupu. • "The Füde Breathwork Experience" mjini New York City ni hafla ya chakula cha jioni ambapo washiriki hula chakula huku...
  18. Mohammed wa 5

    Kisa kifo Cha AKA mgahawa wa wish on Florida umeshuka pakubwa kibiashara

    Uongozi wa mgahawa maarufu huko Darban Afrika kusini WISH pale ambako AKA alipigwa risasi,Baada ya kupata chakula chake Cha mwisho,last supper. Unatangaza kuufunga mgahawa wa WISH kuanzia tareh 10/4/ Wanatarajia kuwaalika watu mbalimbali kula chakula Cha mwisho unaoitwa last supper kwa ajiri...
  19. Bwanamaya

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  20. JanguKamaJangu

    Italia: Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

    Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya. Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
Back
Top Bottom