Utaratibu wa polisi kutumia Jeshi la akiba almaarufu mgambo katika kukabiliana na matukio ya uhalifu ni suala linahotaji kuungwa mkono na kila raia anayelitakia mema Taifa lake. Na hili halikwepeki popote Duniani.
Kimantiki idadi ya askari ni ndogo na hivyo ulazima wa kuwatumia mgambo...