Ndugu zangu,
Ni dhahiri sasa Chadema wamefikia hatua ya kujigeuza migambo. Wanataka kila wasemalo au watakalo lifanyike.
Wanajiona wao ndio wanastahili "attention" ya wananchi. Rais Samia anajitahidi kukutana na makundi muhimu katika jamii kama vile wazee, wakinamama, vijana, viongozi wa dini...