mganga fundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Naomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga. Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga. Ikiwezekana mtaje mganga alipo na wengine wakauone uwezo wake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…