mganga wa kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sokoMchizi

    Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Naomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga. Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga. Ikiwezekana mtaje mganga alipo na wengine wakauone uwezo wake.
Back
Top Bottom