Na hili jua huku unapigwa mgao wa maji wiki nzima , ukirudi japo uwashe feni unapigwa mgao wa umeme basi unakaa kama mbuzi mwenye kiu ukibweka huku ulimi nje ......mtatuua jamani ..... achilieni hata maji tu
Iombee sana Tanganyika.
Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu".
Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache.
Leo hii tuna bwawa la nyerere Megawatt zaidi ya 3000 mpaka zingine zinataka kuuzwa nje, lakini kwa mara ya...
Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana,
Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara.
Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy.
Ni ushauri wa bure tu
Uzi tayari
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita.
Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu.
Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa.
Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie...
Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo...
Wakuu
Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji waliocheza mechi za mwisho dhidi ya Ethiopia na Guinea pekee, au inajumuisha wachezaji wote...
UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO
Ijumaa 15 Novemba, 2024.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
Iran imetangaza ratiba ya mgao wa umeme wa nchi nzima kuanzia Jumapili, ya juzi kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia huku kukiwa na baridi kali, ambayo imesababisha uhaba wa mafuta katika vituo vya umeme...
Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo.
Siku haiishi bila kukatika umeme, tena zaidi ya mara moja kuna siku umeme unashinda siku nzima haupo, na hakuna taarifa...
Habari wakuu,
Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi,
Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
Angeyasema kiongozi wa dini, angeweza kutuhumiwa kuwa anachanganya dini na Siasa!
Wangeongea CHADEMA, wangeambiwa ni tabia yao kupinga!
Lakini sasa aliyeongea ni kada Luhanga Mpina? Nani atakayemjibu?
Kwa mujibu wa huyo mzalendo, kilichokuwa kikichangia tatizo la umeme kukatika mara kwa mara...
Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe.
TFF...
Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi?
Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali...
Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha upungufu wa maji Mkoani hapo ni uzalishaji mdogo mbao hauendani na mahitaji husika
Amesema “Mahitaji...
SULUHISHO LA MGAO WA UMEME, ITAKAYOPUNGUZA GHARAMA NA MGAO
Tatizo la umeme Tanzania limekuwa na viswahili vingi kutoka kwa Mamlaka na ni changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa miundombinu ya kutosha ni moja ya sababu kuu, tumekuwa tukitegema vyanzo vichache...
Jamani naomba ushauri kati ya hivyoi vyuo kipi ni Bora na pia Nina mpango wa kwenda degree na nilisikia kuwa kama unataka kuendelea na degree ni Bora uende chuo Cha private je ni kweli?
Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo
nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.