mgao mbezi beach

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    KERO Mbezi Beach kwa Zena hatuna maji siku ya 3 leo tatizo ni nini?

    Wakuu kwema? Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji. Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA? Ni kama mmetuamulia wakazi wa huku, haipiti muda lazima tupate changamoto ya kutokuwa na maji kwa siku...
Back
Top Bottom