Salaam Wakuu,
Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa?
Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana...
Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako.
Baada ya salamu hizo nije katika ujumbe ninaokusudia kukuandikia.
Ni hivi ndugu Rais, WANANCHI HATUNA MAJI YA UHAKIKA na...
Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach nimekuja kwa mara nyingine.
Kwa Mbezi maji yanakatika kila siku na wakati mwingine inaweza kuwa siku mbili na zaidi. Muda wa kukatika ni kuanzia jioni (kwenye saa kumi hivi) mpaka kesho yake kwenye saa nne au tano hivi. Kwahiyo kwa siku mara mnyingi maji hutoka...
Salam Wakuu,
Kama kawaida msemaji kujiteua kwenye masuala ya maji Mbezi Beach nimekuja na update.
Kwa majibu tuliyopewa na Meneja wa DAWASA Kawe inaonekana kuna mgao. Maana maji yanazuiliwa kwa baadhi ya masaa ili wengine wapate jambo linalofanya baadhi ya maeneo kupata maji kwa presha ndogo...
Wakuu,
Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla.
Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa mbaya. Kama sisi wa Mbezi Beach sasa hivi ni kupata maji kwa masaa mamache yanasepa, ukitoa taarifa...
Ndgu waandishi wa habari,
Wizara hii ina historia kubwa. Iliwahi kushikwa na wakubwa na watu maarufu.
Haijawahi kuboronga. Haijawahi kutokea migongano ya kimaslahi. Kwa maana hiyo haijawahi kuwa maji yapo na wananchi wanahangaika kwa sababu za kisiasa wakakosa maji.
Hili jambo sasa lipo.
TAARIFA KWA UMMA
KUENDELEA KWA MATENGENEZO YA UMEME KATIKA MITAMBO YA RUVU JUU NA RUVU CHINI
23.6.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wa Dar es salaam na Pwani wanaohudumiwa na Mitambo ya kuzalisha maji Ruvu Juu na Ruvu...
Wakuu salam,
Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini?
Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu jamani? Mnafikiri tunaishije?
Halafu maji hayajaacha kuwa na machafu/vumbi! Sasa vumbi kwenye maji...
Habari za jioni ndugu,
Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima.
Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi wa pili huu.
Ukicheki Leo 2024 Bado maji ni shida Ila Waziri yupo naibu wake yupo wanachofanya ni...
Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua mara moja kuondosha kero hii.
Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni.
Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji.
Tusaidie
Asante kwa kuturudishia umeme, asante kwa kuchukua maji. Kazi iendelee mpaka tunyooke.
Kwa kifupi wananchi hatutakiwi kuwa na amani hata kidogo.
Siku kadhaa nyuma tulikuwa tunalia suala zima la mgao wa umeme, lakini naona sasa hivi angalau kuna nafuu.
Lakini sasa, limekuja suala la maji, kwa...
Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi?
Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
Wakuu,
Nimekuja jamaa yangu maeneo haya ya Ada Estate, Kinondoni, Dar maji ni shida. Nadhani kuna mgao wa maji wa kimyakimya ambao hauna taarifa rasmi na DAWASA wapo kimya.
Leo tuna siku ya nne maji yanatoka usiku tu na preshayake ni ndogo sana. Ukienda kwenye ofisi zao hawatoi ushirikiano...
Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo.
Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
Jamani hakuna mtu ambae haelewi umuhimu wa maji kwenye shughuli mbalimbali za kila siku. Sasa maji yanavyokosekana siku nzima bila taarifa yoyote wala tahadhari watu wajiandae mnataka watu tuishije?
DAWASA shida ni nini mpaka wakazi wa Tegeta maeneo ya Kibo, maeneo kuzunguka Hospitali ya...
Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha.
Ni miezi mitatu sasa Jiji la Mwanza lililozungukwa na Ziwa Kubwa barani Afrika Wakazi wake tunakosa maji wakati ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.