Kwa takribani wiki mbili wakazi wa Kimara mpaka mbezi wanaishi pasi na umeme kila siku kwa zaidi ya masaa 12 bila ya taarifa yotote.
TANESCO kila inapofika saa 4 asubuhi wanakata umeme na hurudi saa 5 Usiku. Kama kuna mgao waelezeni wananchi wafahamu kuliko huu ujinga mnaoufanya.
Taarifa...
TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme.
Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri.
Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia Tanzania ikiwa na umeme unaowaka mfululizo kama mwaka huu 2024 baada ya JHNPP kuanza uzalishaji. Kwangu ni...
Nashindwa kuelewa kama TANESCO ni shirika linalosimamia maslahi ya umma, nini maana ya kutoa ahadi feki kila siku?
Kwa masikitiko makubwa sana, shirika hili limegeuza kile kinachoitwa 'Mgawo wa umeme' kuwa 'Hitilafu za kiufundi'
Ni siku 3 sasa watu wa Makongo Juu tunapata usumbufu mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.